Wakati wa semina ya "Fikiri nje ya Box" iliyoandaliwa na MGT kwa kushirikiana na Chimbo "School of thought" ikiongozwa na Harris Kapiga ambaye ni muwakirishi na mtangazaji wa Clouds fm na Clouds TV iliyofanyika katika Chuo kikuu cha Dodoma "UDOM" iliyoshirikisha washiriki kutoka vyuo mbalimbali vilivyopo Dodoma.
|
Washiriki wakifuatilia kwa makini maelezo yatolewayo na viongozi. |
|
Mr. Harris Kapiga akizungumza na washiriki kwa ukaribu zaidi |
|
Mkurugenzi wa MGT Mr. Elia P. Mwigah akitoa ufafanuzi zaidi kwa washiriki |
|
Mkurugenzi MGT Mr. Elia P. Mwigah akitoa ufafanuzi zaidi
Meza kuu wakati wa semina
|
No comments:
Post a Comment